IQNA – Zaidi ya walowezi 1,000 wa Kizayuni wa utawala haramu wa Israel wakiwa na mawaziri wa mrengo mkali wa kulia na wakisaidiwa na jeshi la utawala huo katili, wameuvamia Msikiti wa Al-Aqsa katika mji unaokaliwa wa al-Quds siku ya Jumatatu.
Habari ID: 3480745 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/27
IQNA – Walowezi wa Kizayuni Waisraeli wamevunjia heshima nakala za Qur'ani Tukufu na kuharibu mali za Wapalestina katika mfululizo wa mashambulizi karibu na al-Khalil katika eneo linalokaliwa kwa mabavu la Ukingo wa Magharibi.
Habari ID: 3480596 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/26
IQNA – Harakati ya Mapambano ya Kiislamu (Muqawama) ya Lebanon, Hizbullah, imetoa wito kwa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC), Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (AL), vituo vya kielimu na kisayansi vya Umma wa Kiislamu, pamoja na wapenda uhuru duniani kuchukua hatua za haraka kutimiza wajibu wao wa kihistoria kuhusu Msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3480554 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/17
IQNA – Wapalestina pamoja na nchi za eneo la Asia Magharibi zimelaani vikali uvamizi wa waziri wa mrengo wa kulia wa utawala ghasibu wa Israel, Itamar Ben-Gvir, kwenye uwanja wa Msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
Habari ID: 3480488 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/03
Jinai za Wazayuni
IQNA – Katika mwezi uliopita wa Desemba, kulikuwa na hujuma 22 za walowezi wa Kizayuni dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa al-Quds (Jerusalem) Mashariki unaokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3479991 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/02
Jinai za Israel
IQNA - Kundi la walowezi haramu wa Kizayuni wa utawala haramu Israel wamechoma moto Msikiti wa Bir Al-Walidain katika kijiji cha Marda, kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3479925 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/20
IQNA - Idara ya Waqfu ya Kiislamu huko al-Quds (Jerusalem) imesema kumeshuhudiwa ongezeko la idadi ya walowezi wa Kizayuni waliouhujumu Msikiti wa Al-Aqsa mwaka jana.
Habari ID: 3478133 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/02
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Mufti Mkuu wa al-Quds (Jerusalem) na Palestina amelaani kitendo cha hivi karibuni cha walowezi wa Kizayuni cha kuivunjia heshima Qur'ani Tukufu katika Ukingo wa Magharibi wa Mji wa Al-Khalil (Hebron).
Habari ID: 3477871 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/10
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International linasema walowezi wa Kizayuni wanaotenda jinai dhidi ya Wapalestina hawaadhibiwi katika mfumo unaotawala Israel wa ubaguzi wa rangi.
Habari ID: 3476682 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/09
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Kundi la walowezi wa Kizayuni wameshambulia msikiti katika Mji Mkongwe wa Al-Khalil (Hebron), wakirusha mawe kwenye sehemu hiyo ya ibada ya Waislamu.
Habari ID: 3476591 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/20
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Mwanaume wa Kipalestina ameuawa shahidi na walowezi Wazayuni Waisraeli siku ya Jumamosi katika eneo la Palestina la Ukingo wa Magharibi linalokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel.
Habari ID: 3476553 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/12
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Utawala ghasibu wa Israel unaripotiwa kupanga kujenga nyumba 18,000 zaidi vitongoji haramu vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina zinazokoloniwa na utawala huo huko Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3476462 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/25
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Shirika la Kiislamu linalosimamia masuala ya Msikiti wa al-Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) linasema kwamba idadi kubwa ya walowezi wa Kizayuni wa Israel walivamia eneo hilo takatifu la Kiislamu mwaka 2022.
Habari ID: 3476331 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/30
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Kundi la walowezi wa Kizayuni wenye misimamo mikali walivamia Msikiti wa Al-Aqsa huko mjini Al Quds (Jerusalem) wakiwa wametekeleza hujuma hiyo Jumapili asubuhi.
Habari ID: 3476158 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/27
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Walowezi wa Kizayuni wameshambulia misikiti miwili na kuvunja madirisha wakati wa shambulio katika kitongoji cha Bab al-Zawiya katika mji unaokaliwa wa Al-Khalil (Hebron) unaokaliwa kwa mabavu na Israel katika Ukingo wa Magharibi.
Habari ID: 3476121 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/20
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Al Azhar cha nchini Misri kimelaani kile ilichokitaja kuwa ugaidi za Kizayuni, baada ya Walowezi wa Kiyahudi kuchoma moto Qur'ani Tukufu katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3475912 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/11
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Harakati ya Al-Aqsa ya Indonesia iimelaani vikalia hatua ya hivi karibuni ya walowezi wa Kizayuni wa Israel kusherehekea mwaka mpya wa Kiyahudi katika Msikiti wa Al-Aqsa huko al-Quds (Jerusalem) na Msikiti wa Ibrahimi huko Al-Khalil (Hebron).
Habari ID: 3475855 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/29
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Chama kikubwa zaidi nchini Jordan kimeonya kuhusu ongezeko la walowezi wa Kizayuni Waisraeli ambao wanatekeleza hujuma za kichochezi dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa huko al-Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3475824 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/22
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) -Walowezi wa Kizayuni wakiwa wanalindwa na askari wengi wa utawala haramu wa Israel walivamia uwanja wa Msikiti wa Msikiti wa Al-Aqsa mjini Quds (Jerusalem) siku ya Jumapili, na kufanya ibada za kichochezi za Kiyahudi katika eneo hilo takatifu la Kiislamu
Habari ID: 3475808 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/19
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani vikali kuendelea kupasishwa mipango ya ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi zinazokaliwa kkwa mabavu za Palestina.
Habari ID: 3475640 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/18